- Umekuwa ukijiuliza maswali kuhusu ugonjwa wa PID? majibu yapo hapa
Dalili za pid kwa mwanamke
Dawa ya pid ya hospital
Dawa ya pid ya kienyeji
Ugonjwa wa pid
Pid ni nini kwa kiswahili
Dalili za pid kwa wanawake
Sti ni nini
Dawa ya pid na fangasi
*?Pid Inasababisha Hatari ya kupata Saratani ya shingo ya kizazi* ,?
*_Sababu Kubwa Ni Human Papillomavirus_(HPV)*
Anasababisha kama ifuatavyo,;-
Kwa mwanamke ambae Hana PID anakuwa na kiwango Cha 26.40% ya HPV Na kwa mwanamke mwenye PID huongezeka mpka 33.74% ya HPV,
Huyu virus huambukizwa kutoka na kujaamiana au kufanya Ngono kwa Asilimia kubwa wanawake wengi wanaye huyu virus,
Na pind wakipata mambuzi Kama PID huwa kwenye hatari kubwa ZAIDI ,
*HIZI NI DALILI ZA UGONJWA WA PID*
?Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
?Kuwashwa sehemu za siri
?Uke kutoa harufu mbaya
?Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
?Uke kuwa wa ulaini sana
?Maumivu wakati wa tendo la ndoa
?Kuvurugika Kwa hedhi
?Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
?Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
?Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula
? Kukosa hamu ya tendo la Ndoa,
*MADHARA YA PID*
?Ugumba
?Kansa ya shingo ya kizazi
?Mirija ya uzazi kuziba
?Majeraha kwenye mirija ya uzazi,
P.s
Chukua hatua dhidi ya Tatizo ulilo nalo kuepuka madhara makubwa zaidi,
Nimpigie kwa no 0767095760 kwa tiba na ushauri.
Tiktok ,@geofreyjames691
Facebook , jipende utunze
AFYA
Instagram. GEOFREY UZAZI
BORA
Whatsapp Bonyeza hapa kama unasoma kwa kutumia simu au nitafute kwa namba hii hii whatsapp 0767095760