Discover posts

Explore captivating content and diverse perspectives on our Discover page. Uncover fresh ideas and engage in meaningful conversations

Jinsi gani elimu ya amali inavyoweza kupunguza tatizo la ajira Tanzania
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/jinsi

Jinsi gani Elimu ya Amali inavyochangia kutatua tatizo la Ajira - ElimikaLeo

Ongeza maarifa

Ugonjwa wa PID (Pelvic Inflammatory Disease): Chanzo, Dalili, Matibabu na Njia za Kujikinga -

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/ugonj

Ugonjwa wa PID (Pelvic Inflammatory Disease): Chanzo, Dalili, Matibabu na Njia za Kujikinga - ElimikaLeo

Ongeza maarifa

Jinsi gani makambi ya kitaaluma yanavyochangia kukua kwa elimu nchini Tanzania
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/jinsi

Jinsi gani Makambi ya Kitaaluma: Nguvu ya Kuinua Taaluma ya Wanafunzi na Kanuni za Kuongoza -                        ElimikaLeo
msomihurutzblog.blogspot.com

Jinsi gani Makambi ya Kitaaluma: Nguvu ya Kuinua Taaluma ya Wanafunzi na Kanuni za Kuongoza - ElimikaLeo

Ongeza maarifa
4 w - Youtube

Walimu na matumizi ya TEHAMA TANZANIA
*🖥️ WALIMU NA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI*
Katika kuhakikisha elimu ya Tanzania inaendana na mabadiliko ya dunia ya sasa,
*Serikali kupitia Wizara ya Elimu* imeweka mkazo mkubwa juu ya *matumizi ya TEHAMA mashuleni*, hasa katika utekelezaji wa *mtaala ulioboreshwa*.
🎯 *Lengo kuu 
Kuhakikisha *kila mwalimu* anakuwa na uelewa na ujuzi wa msingi wa TEHAMA katika kufundisha na kujifunza. Hili ni *hitaji rasmi* siyo hiari tena.
✅ UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO HAYA
Walimu waliowahi kupata mafunzo rasmi ya TEHAMA wameelekezwa kwenda *kuwajengea uwezo walimu wenzao mashuleni* kwa njia ya mafunzo kwa vitendo. Hili ni agizo la serikali – kila shule ihakikishe inatenga muda wa ndani ya wiki kwa ajili ya mafunzo hayo ya ndani.
Hivyo basi Wasimamizi wa ELIMU Ngazi ya Shule, Kata , Halmashauli na Mkoa Wanapaswa Kuhakikisha walimu wao wanawezeshewa Elimu Hii.
🧠 MAMBO MUHIMU AMBAYO WALIMU WANAPASWA KUPEANA UJUZI KWA PAMOJA NI PAMOJA NA HAYA YAFUATAYO.
1. *Uelewa wa mtaala mpya na nafasi ya TEHAMA* 
   Mtaala mpya umeainisha wazi kuwa matumizi ya TEHAMA ni sehemu ya lazima ya ufundishaji.
Hakuna mwalimu atakayekwepa matumizi ya TEHAMA katika somo lolote. Hivyo Kila shule ihakikishe inafanya kazi Hiyo.
2. *Kutambua vifaa vya TEHAMA vinavyotumika mashuleni*. Walimu wafahamu matumizi ya vifaa kama vile : 
   - Kompyuta (desktop au laptop) 
   - Simu janja 
   - Tablet 
   - Projector 
   - Printer 
   - Smart board 
   - Spika, kamera, microphone n.k.
3. *Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) mfano Chatgpt* 
   Tanzania imeandaa mwongozo rasmi wa matumizi ya AI katika elimu.
Walimu wanapaswa kufahamu namna ya kutumia AI kama nyenzo ya kuongeza ubunifu na ufanisi katika ujifunzaji na ufundishaji.
4. *Ujuzi wa Microsoft Office* 
   - *Word* kwa maandalizi ya nyaraka 
   - *Excel* kwa taarifa za wanafunzi na ripoti mbalimbali 
   - Hii ni muhimu sana katika kazi za kiutawala na kitaaluma.
5. *Matumizi ya majukwaa ya kidigitali 
   - Zoom, Email, WhatsApp, Google Forms, Telegram, YouTube n.k. 
   - Walimu wafundishane namna ya *kujisajili, kuunda, na kutumia* majukwaa hayo kwa kufundishia.
6. *Uunganishaji wa vifaa (Connectivity Skills)* 
   - Kufahamu jinsi ya kuunganisha vifaa kwa *cables* au *wireless*
   - Hii ni pamoja na kufahamu mifumo ya projector, smart boards, na vifaa vinavyosaidia kazi za kitaaluma.
🗓️ RATIBA YA UTOAJI UJUZI SHULENI
Kila shule inapendekezwa *kutenga muda maalum kila wiki* (kwa mfano mara 2 Hadi mara 4 ) kwa walimu *kukutana na kushirikishana ujuzi wa TEHAMA*.
Hili sio hiari, ni *agizo rasmi la serikali* na linaenda sambamba na utekelezaji wa mtaala mpya.
🎥 MAFUNZO HAYA PIA YANAPATIKANA KWA NJIA YA MTANDAONI
Ili kuendelea kujifunza, fuatilia *mafunzo,  kipengele kwa kipengele* kupitia majukwaa yafuatayo ya *ElimikaLeo
📲 *WhatsApp Channel 
https://whatsapp.com/channel/0....029Vb2b7U5CBtxLx6kwO
📘 *Facebook 
https://www.facebook.com/profi....le.php?id=6157401134
🌐*Website*
👉 https://msomihurutzblog.blogspot.com
                   
*🗣️ USISITE KUSHARE NA WALIMU WENZAKO* 
Elimu ya TEHAMA ni jukumu la kila mmoja wetu   tusaidiane kufanikisha lengo hili la kitaifa!
By
ElimikaLeo

Jinsi ya kuunda maneno mapya katika lugha ya kiswahili jifunze hapa
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/jinsi

JInsi ya Uundaji wa Maneno katika Kiswahili - ElimikaLeo

Ongeza maarifa

Jinsi gani akili na elimu zilivyokuwa na utofauti mkubwa soma zaidi hapa
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/jinsi

Sasa Elimika inapatikana kupitia App download kupitia hapa
👇
https://www.appcreator24.com/app3570108-um65fq
Usisahau kusambaza Link 🔗 hii kwa wengine ili wapate mafunzo haya ili tuwe bora na tuibadilishe Dunia

Karibu kwenye ElimikaLeo website upate mafunzo mbalimbali kupitia hapa
https://msomihurutzblog.blogspot.com

Unaweza kutangaza Shule yako kupitia link hiyo chini
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/p/shule-bora.

Tangaza Shule Yako - ElimikaLeo
msomihurutzblog.blogspot.com

Tangaza Shule Yako - ElimikaLeo

Ongeza maarifa
laperle salon changed his profile picture
4 w

image
Install Jamii Huru App