Discover posts

Explore captivating content and diverse perspectives on our Discover page. Uncover fresh ideas and engage in meaningful conversations

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/11/new-u

New update Baraza la mitihani latangaza matokeo ya kumaliza elimu ya msingi 2025 - JIFUNZE UELEWE

๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

image

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/11/vitab

VITABU VYA DARASA LA VII |TET BOOKS ? - JIFUNZE UELEWE

Vitabu vya kufundishia na kujifunzia

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/11/pata-

VITABU VYA DARASA LA VI |TET BOOKS ? - JIFUNZE UELEWE

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/11/pata-

VITABU VYA DARASA LA V |TET BOOKS ?ย ย  - JIFUNZE UELEWE

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/11/pata-

VITABU VYA DARASA LA III |TET BOOKS ?ย ย  - JIFUNZE UELEWE

https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/11/pata-

VITABU VYA DARASA LA IV |TET BOOKS ?ย ย  - JIFUNZE UELEWE

*Je wajua kama anayehusika na upatikanaji wa jinsi ya mtoto ni mzazi wa kiume?.*


Tendo la urutubishaji wa mayai husababisha jinsi ya mtoto kutokea.
Gameti uke kutoka kwenye ovari imebeba chembe Uzi(Chromosome) ya aina moja iitwayo X.Hivyo,kila yai linalotoka tayari kwa kurutubishwa hubeba chembeuzi X.Gameti ume imebeba moja kati ya chembe Uzi (Chromosome) za aina mbili yaani X na Y.Endapo chembe Uzi(Chromosome) X kutoka kwa mwanaume itakutana na chembeuzi X kutoka kwa mwanamke,mtoto wa kike hutungwa.Kama chembeuzi(Chromosome) Y kutoka kwa mwanaume itakutana na chembeuzi (Chromosome) X kutoka kwa mwanamke mtoto wa kiume hutungwa.
Follow us on WhatsApp channel through this link below ๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0....029Vb2b7U5CBtxLx6kwO

image

image
Install Jamii Huru App