Jinsi Mfumo wa utoaji takamwili unavyofanya kazi katika mwili wa kiumbe hai
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/jinsi
Explore captivating content and diverse perspectives on our Discover page. Uncover fresh ideas and engage in meaningful conversations
Jinsi Mfumo wa utoaji takamwili unavyofanya kazi katika mwili wa kiumbe hai
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/jinsi
Jinsi gani Internet inavyofanya kazi https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/jinsi
Jinsi Mfumo wa Tarakirishi Unavyofanya Kazi https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/jinsi
Sababu zinazoifanya elimu ya Tanzania kushuka https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/sabab
UALIMU ni kazi ya kuitwa au ajira soma zaidi kupitia hapa
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/05/ualim
Jinsi gani elimu ya amali inavyoweza kupunguza tatizo la ajira Tanzania
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/07/jinsi
Ugonjwa wa PID (Pelvic Inflammatory Disease): Chanzo, Dalili, Matibabu na Njia za Kujikinga -
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/ugonj
Jinsi gani makambi ya kitaaluma yanavyochangia kukua kwa elimu nchini Tanzania
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/jinsi
Walimu na matumizi ya TEHAMA TANZANIA
*๐ฅ๏ธ WALIMU NA MATUMIZI YA TEHAMA KATIKA UFUNDISHAJI NA UJIFUNZAJI*
Katika kuhakikisha elimu ya Tanzania inaendana na mabadiliko ya dunia ya sasa,
*Serikali kupitia Wizara ya Elimu* imeweka mkazo mkubwa juu ya *matumizi ya TEHAMA mashuleni*, hasa katika utekelezaji wa *mtaala ulioboreshwa*.
๐ฏ *Lengo kuuย
Kuhakikisha *kila mwalimu* anakuwa na uelewa na ujuzi wa msingi wa TEHAMA katika kufundisha na kujifunza. Hili ni *hitaji rasmi* siyo hiari tena.
โ
UTEKELEZAJI WA MAELEKEZO HAYA
Walimu waliowahi kupata mafunzo rasmi ya TEHAMA wameelekezwa kwenda *kuwajengea uwezo walimu wenzao mashuleni* kwa njia ya mafunzo kwa vitendo. Hili ni agizo la serikali โ kila shule ihakikishe inatenga muda wa ndani ya wiki kwa ajili ya mafunzo hayo ya ndani.
Hivyo basi Wasimamizi wa ELIMU Ngazi ya Shule, Kata , Halmashauli na Mkoa Wanapaswa Kuhakikisha walimu wao wanawezeshewa Elimu Hii.
๐ง MAMBO MUHIMU AMBAYO WALIMU WANAPASWA KUPEANA UJUZI KWA PAMOJA NI PAMOJA NA HAYA YAFUATAYO.
1. *Uelewa wa mtaala mpya na nafasi ya TEHAMA*ย
ย ย Mtaala mpya umeainisha wazi kuwa matumizi ya TEHAMA ni sehemu ya lazima ya ufundishaji.
Hakuna mwalimu atakayekwepa matumizi ya TEHAMA katika somo lolote. Hivyo Kila shule ihakikishe inafanya kazi Hiyo.
2. *Kutambua vifaa vya TEHAMA vinavyotumika mashuleni*. Walimu wafahamu matumizi ya vifaa kama vile :ย
ย ย - Kompyuta (desktop au laptop)ย
ย ย - Simu janjaย
ย ย - Tabletย
ย ย - Projectorย
ย ย - Printerย
ย ย - Smart boardย
ย ย - Spika, kamera, microphone n.k.
3. *Matumizi ya Artificial Intelligence (AI) mfano Chatgpt*ย
ย ย Tanzania imeandaa mwongozo rasmi wa matumizi ya AI katika elimu.
Walimu wanapaswa kufahamu namna ya kutumia AI kama nyenzo ya kuongeza ubunifu na ufanisi katika ujifunzaji na ufundishaji.
4. *Ujuzi wa Microsoft Office*ย
ย ย - *Word* kwa maandalizi ya nyarakaย
ย ย - *Excel* kwa taarifa za wanafunzi na ripoti mbalimbaliย
ย ย - Hii ni muhimu sana katika kazi za kiutawala na kitaaluma.
5. *Matumizi ya majukwaa ya kidigitaliย
ย ย - Zoom, Email, WhatsApp, Google Forms, Telegram, YouTube n.k.ย
ย ย - Walimu wafundishane namna ya *kujisajili, kuunda, na kutumia* majukwaa hayo kwa kufundishia.
6. *Uunganishaji wa vifaa (Connectivity Skills)*ย
ย ย - Kufahamu jinsi ya kuunganisha vifaa kwa *cables* au *wireless*
ย ย - Hii ni pamoja na kufahamu mifumo ya projector, smart boards, na vifaa vinavyosaidia kazi za kitaaluma.
๐๏ธ RATIBA YA UTOAJI UJUZI SHULENI
Kila shule inapendekezwa *kutenga muda maalum kila wiki* (kwa mfano mara 2 Hadi mara 4 ) kwa walimu *kukutana na kushirikishana ujuzi wa TEHAMA*.
Hili sio hiari, ni *agizo rasmi la serikali* na linaenda sambamba na utekelezaji wa mtaala mpya.
๐ฅ MAFUNZO HAYA PIA YANAPATIKANA KWA NJIA YA MTANDAONI
Ili kuendelea kujifunza, fuatilia *mafunzo,ย kipengele kwa kipengele* kupitia majukwaa yafuatayo ya *ElimikaLeo
๐ฒ *WhatsApp Channelย
https://whatsapp.com/channel/0....029Vb2b7U5CBtxLx6kwO
๐ *Facebookย
https://www.facebook.com/profi....le.php?id=6157401134
๐*Website*
๐ https://msomihurutzblog.blogspot.com
ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย ย
*๐ฃ๏ธ USISITE KUSHARE NA WALIMU WENZAKO*ย
Elimu ya TEHAMA ni jukumu la kila mmoja wetuย ย tusaidiane kufanikisha lengo hili la kitaifa!
By
ElimikaLeo
Jinsi ya kuunda maneno mapya katika lugha ya kiswahili jifunze hapa
https://msomihurutzblog.blogsp....ot.com/2025/08/jinsi
udofia Joshua
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?