image
image

Kamera ndogo ya cctv ya siri

Tsh99,000.00 (TZS)
0 Reviews
Mchinamafursa profile picture   
Published By Mchinamafursa
  
  •  LocationDar es salaam
  •  StatusIn stock
  •  TypeNew

Details

Usalama ni kitu Cha muhimu sana, weka kamera hii sehemu unayohisi wezi wanaweza sogea kuiba chochote itawarekodi vizuri hata kama ni usiku. Pia unaweza kutumia kamera hii kutengeneza contents mitaani bila watu kujua kuwa unawarekodi. Fanya malipo kupitia mtandao huu nikutumie popote Tanzania. Nadhani unajua huu mtandao siwezi kukutapeli maana pesa yako ukituma inashikiliwa kwenye huu mtandao mpaka upokee kamera yako uitest ndio utawaambia huu mtandao kuwa waruhusu pesa kuja kwangu.

Ukitumia mtandao huu kuuza na kununua bidhaa mtandaoni hakuna utapeli

Related Products