

+3
Hii chaja unachomeka ukutani ni nzuri Kwa usalama wa familia yako kujua watoto usalama wao ukiwa mbali. Mfano msichana wa kazi hawezi kujua kama hiyo chaja inarekodi matukio yote na wewe unaona kwenye Simu Yako ukiwa mbali. Tunatumia mikoa yote lipia Sasa kupitia jamiihuru.com uipate chaja hii. Muhimu chaja hii inauzwa Kwa oda yaani mkifika watu 20 mliolipia ndio tunaagiza mzigo Toka Vietnam Kwa hiyo kama unaharaka ya kuipokea tafadhali usilipie wasiliana nami kwanza nikueleweshe vizuri utaipataje ukilipia Leo na wewe ni WA ngapi kati ya waliolipia

Usalama ni kitu Cha muhimu sana, weka kamera hii sehemu unayohisi wezi wanaweza sogea kuiba chochote itawarekodi vizuri hata kama ni usiku. Pia unaweza kutumia kamera hii kutengeneza contents mitaani bila watu kujua kuwa unawarekodi. Fanya malipo kupitia mtandao huu nikutumie popote Tanzania. Nadhani unajua huu mtandao siwezi kukutapeli maana pesa yako ukituma inashikiliwa kwenye huu mtandao mpaka upokee kamera yako uitest ndio utawaambia huu mtandao kuwa waruhusu pesa kuja kwangu.
Ukitumia mtandao huu kuuza na kununua bidhaa mtandaoni hakuna utapeli



Chaji Simu popote bila wasiwasi ukiwa na hii power bank inayotumia jua yaani Sola lipia Sasa kupitia mtandao huu wa jamiihuru.com ambao pesa yako inakuwa salama Mimi sitaweza kutoa pesa humu mpaka wewe uwe umepokea chaja yako