Jinsi ya kuweka avator yako au profile picture

Comments · 951 Views

Pendezesha profile yako sasa kwa kuweka picha nzuri

Habari, Kama uliweka picha kwenye profile yako na sasa huioni au haionekani unatakiwa kuweka upya. Faida za kuweka picha yako ni kwamba unawavutia maelfu ya watu kukukufahamu zaidi. Kufahamika ni mtaji tosha. kadili unavyozidi kufahamika ndivyo unavyojiongezea fulsa. Tambua umuhimu wa network. Ukiwa hapa jamii huru kazana kupata followers wengi uwezavyo ili siku za mbeleni utumie network yako kutangaza biashara zako. 

Kuweka picha yako profile bonyeza link hii http://www.jamiihuru.com/setting/avatar-setting Kisha bonyeza kibox cha avator na upload picha toka kwenye simu yako au kompyuta yako. Asante kwa kuendelea kutumia mtandao wa jamii huru

Comments
------------- ANZA KUFANYA BIASHARA YA KUNUNUA BITCOIN NA KUUZA KWA FAIDA INGIA WHATSAPP BONYEZA HAPA