imageimageimageimageimage
image
image
image
image
image

Chaja yenye kamera ya Siri

Tsh55,000.00 (TZS)
0 评论
Mchinamafursa profile picture   
发表 经过 Mchinamafursa
  
  •  地点Tanzania
  •  地位有存货
  •  类型新的

细节

Hii chaja unachomeka ukutani ni nzuri Kwa usalama wa familia yako kujua watoto usalama wao ukiwa mbali. Mfano msichana wa kazi hawezi kujua kama hiyo chaja inarekodi matukio yote na wewe unaona kwenye Simu Yako ukiwa mbali. Tunatumia mikoa yote lipia Sasa kupitia jamiihuru.com uipate chaja hii. Muhimu chaja hii inauzwa Kwa oda yaani mkifika watu 20 mliolipia ndio tunaagiza mzigo Toka Vietnam Kwa hiyo kama unaharaka ya kuipokea tafadhali usilipie wasiliana nami kwanza nikueleweshe vizuri utaipataje ukilipia Leo na wewe ni WA ngapi kati ya waliolipia

相关产品