NJIA ZINAZOTUMIKA KUINGIZA PESA JAMIIHURU

Комментарии · 17 Просмотры

Mtandao wa jamii huru unaweza kukuingizia pesa kupitia njia hizi kuu. Soma kwa umakini ili uweze kujiongezea ujuzi.

Inafanya kazi na kukuingizia hela kupitia ujuzi ulionao kwenye nyanja mbalimbali" hapa unakua umejiajiri". na hii imewalenga watu wa lika lote.

Hizi ni njia kuu za kukuingizia pesa:

1. Kutengeneza au kubuni vitu mbali mbali na kuvipost ndani ya iyo website:

Inaweza kuwa makala, Video za aina yoyote, Muziki, Picha mbali kwa ajili ya kuelimisha au kuburudisha na mengine mengi ambayo utaweza kuyafahamu baada ya kununua storage. Hii haina tofaut na mtu anayepost vitu facebook, YouTube, Instagram n.k. Tofauti ndogo iliyopo ni kwamba kupitia jamii huru vitu ulivyopost unapata malipo, lakini pia unaweza kuvipost na ukaweka sheria mtu aweze kununua ndo aweze kupata huduma yako. 

 

2. Kualika watu: 

Malipo ya hiki kitendo yapo kwa kasi kubwa kwasababu moja tu ambayo ni" jamiihuru ni website imeanzishwa mwaka jana (2024 November) ivyo inahitaji kuvuta watumiaji wengi ili kusaidia ukuaji wake. Malipo ya hii sehemu yamepewa kipaumbele kikubwa ni kwamba mtu analipwa hivi; Kwa nchi zinazotumia USD=$1, Tanzania =Tsh 2500, Kenya= Ksh129 n.k. Iyo ni kazi ya pili kwahiyo kwa mtu ambaye yeye kuweka content hataki, anaweza kuchangia kwa kualika watu na kuikuza website.

 

3. Kutengeneza blogs:

Mfano mzuri wa haraka ni hii makala, inamalipo yake unapoipost kwenye blog ili watu waweza kuiona; moja tu unapata point 100 na sio lazima iwe ndefu kama hii. Point 100 ambazo zitakuja kuhesabiwa kama hela, na njia ya kutengeneza point sio hii tu unapoccoment content za watu unapata point pia sio kama TikTok unacomment bure. Zipo njia kibao kadili utavyozidi kuizoea utazidi kufahamu hizo njia au mbinu za kuongeza point.

 

4. Kuna sehemu imeandikwa "Fundrasing":

Hiyo sehemu ipo kwa ajili ya wanaohitaji msaada wa kifedha, unaweza kwenda na kutoa mchango kwa watu wenye uhitaji, mfano watoto yatima, wazee, wanafunzi wenye changamoto ya ada n.k. Wewe pia kama unachangamoto kuna sehemu ya kuunda sehemu yako ili watu waweze kukufikia au kutuma msaada. Ndio unaweza kua huna shida na huu mtandao lakini una roho ya huruma, basi jiunge ili uweze kuwasaidia watu wanaohitaji msaada wa kifedha kutoka kwako, iyo itakuongezea baraka, sisi wote ni viumbe wa Mungu, mali zipo na tutaziacha hapa hapa duniani. Unachangamoto yoyote ya kifedha, huwezi jua msaada utaupata wapi unaweza jiunga na ikawa bahati kwako.

 

5. Kuna sehemu imeandikwa "Jobs":

Hapa kuna kazi mbalimbali zimewekwa japo sio nyingi lakini huu mtandao miaka ya mbeleni kadili watumiaji wanavyoongezeka, kazi nazo zitaongezeka. Kwa sasa wanahitajika "Managers", "Customer care" wa hii website kwa kila nchi na mkoa, malipo ni mazuri sana kama utakua na vigezo unajipatia kazi.

 

6. Kuna sehemu imeandikwa Advertising (Matangazo):

Advertising kwa Kiswahili inamaanisha matangazo.

Ni mchakato wa kutangaza bidhaa, huduma au wazo kwa lengo la kuwafahamisha, kuwashawishi na kuwakumbusha wateja ili waweze kuchukua hatua fulani (kama kununua bidhaa, kutumia huduma, au kuunga mkono wazo fulani).

Hapa unapewa nafasi ya kutengeneza " ads "kutokana na bidhaa unayohitaji itangazwe mtandaoni ambazo zitasambaa kwenye mitandao na kukuletea wateja. Ushindwe wewe mfanya biashara.

Kumbuka! hizo ni njia kuu zinazokuajili, maana ake bado zipo njia nyingine utakazokutana nazo ndani kwa ndani. Usiseme hakuna ajila, wala usipende kuajiliwa njoo jiajili kutoka na kipaji ulichopewa na Mungu wako, Mafunzo uliyopata shule n.k

 

Vigezo vya kujiunga

1.Umri ni wowote ule ilimradi ujue kusoma na kuandika

2.Lazima ununue storage, ipo storage ya Tsh 3,000 na Tsh 10,000 kwa Tanzania, Iyo ndo itaruhusu ukubwa wa content utakazokua unapost mfano, Unataka kupost vitu vyenye GB zaidi ya 2, Itabidi ununue storage ya Tsh 10000 itakayokuruhusu kuwa unapost vitu vyenye uwezo mkubwa mpaka GB10. Ila vitu vyenye chini ya GB2 basi Tsh 3000 inatosha kabisa. Nafasi ya Tsh3000 sio mbaya kabisa kwa anayehitaji kuanza kujaribu, mbeleni ukiona inakufaidisha unaweza boresha storage yako.

 

Vigezo vya kupokea hela kwa watanzania.

1. Kiasi lazima iwe kuanzia Tsh 25000.

2. Uwe na mtandao wowote ule ( Airtel, Tigo, Vodacom, Halotel) au account ya Bank ( CRDB, NMB, NBC n.k ).

 

Faida za mtandao huu.

Umekaguliwa na kupitishwa na tume salama.

Wahusika wanatambulika na ikitokea aina yoyote ya migogoro wapo tayari kujibu mashitaka.

Imetengeneza ajira ya kweli aswa kwa wa Afrika waliokosa kuajiliwa na serikali.

Zipo huduma nyingine zinahusu maswala ya mahusiano, kutana wanaohitaji marafiki, kuoa/ kuolewa, dating ya muda" ipo sehemu za kujisajili, ili mtu aweza kufahamu hali yako na huduma unayohitaji.

Hasara za mtandao huu ukilinganisha na mitandao mingine.

Kuutumia lazima ununue nafasi.

Unahitaji uuzoee na kufahamu namna ya kuutumia, watu wanakutana changamoto mbali mbali lakini kuna namba imewekwa pale, ni namba ya simu ya Manager kwa Tanzania unapohitaji msaada unaweza kumtafuta muda wowote ule lakini mimi pia ukibonyeza kitufe/Icon ya WhatsApp hapo chini au ukishajiunga kwenye mtandao wa jamii huru nina group pia unaweza kunifollow, then nikakuongeza kwenye kundi, pia ipo sehemu ya contact us iyo ni kwa wale wanaohitaji kuwasiliana moja kwa moja na waliotengeneza website.

Kwanini huu mtandao unalipa watu wanaojisajiri?

Kwanza tambua Kuna mitandao mingi ya kijamii duniani na yote inamilikiwa na wazungu.

Mitandao ya wazungu ilijitangaza kwa kulipia matangazo kwenye vyombo vya habari na mitandao kama google.

Sasa huu mtandao wa kizalendo wa Jamii Huru unataka pesa ya kutangaza huu mtandao Afrika waipate watu walio tayari kuutangaza mtandao huu Kwa rafiki zao ndugu zao na wafuatiliaji wao.

Hii ni njia ya kujitangaza ambayo wamiliki wa mtandao wa Jamii Huru waliona itasaidia kupata watu haraka na itatengeneza ajira ya kweli Kwa vijana wa Afrika ambao wanateseka kwa ukosefu wa ajira.

Комментарии
Install Jamii Huru App