Leo tutajifunza jinsi ya kutengeneza sabuni ya chooni.

Comments ยท 101 Views

Sabuni ya chooni ni biashara yenye faida kubwa sana.watu wengi wamenufaika na biashara hii.tutaenda kujifunza faida zake na hasara.

Habari zenu wapendwa.leo naenda kufundisha jinsi ya kutengeneza sabuni za chooni.kwanza biashara ya sabuni za chooni inafaida sana.tokea nilipoanza hii biashara ya sabuni nimepata mafanikio makubwa sana.mpaka sasa Nina miaka 6 nafanya hii biashara.ndugu zangu biasha hii inamtaji mdogo sana nibiashara inayotoka haraka sana,kinachotakiwa ni umakini na umaridadi wa hii sabuni,ikiwa nzuru inauzika mapema sana,twende tukaone mtaji wa sabuni ya chooni.kwanza kabisa mtaji ni sh.37000.material zinazo hitajika ni 1,salphonic acid 2.soda ash 3.siles 4.pafyumu 5.alka2.6.grisaline 7.chumvi 8.rangi 9.maji.tukaone kazi ya hii dawa salphonic hung'arisha,siles huleta povu,soda ash kuua bacteria,pafyum huleta manukato,ark2 huleta uzito,grisaline kuzuia kupausha,chumvi hufanya sabuni kuwa nzito,rangi hubadiri monekano.kwanza kabisa tutaenda kuanda jaba la debe tatu.tutaweka maji Lita 20.tutachukua salphonic nakuchanganya kwenye maji tutakologa ndani ya dakika 10,tutachukua soda ash tutachanganya na kukologa dakika 10,tutachukua siles tutachanganya tutakologa dakika 10,tutachukua grisaline tutachanya tutakologa dakika 10,tutachukua arka2 tutachanganya tutakologa dakika 10,tutachukua pafyumu tutachanganya tutakologa dakika 10,tutachukua chumvi tutakologa dakika 10,tutachukua rangi tutachanganya tutakologa dakika 10,baada ya hapo sabuni yetu itakuwa nzito.tutaongeza maji Lita 20 tutachanganya na Ile sabuni nakukoga dakika 10.sabuni yetu itakuwa imekamilika.kila dawa utakayo changanya inatakiwa kukologa dakika 10, vifaa kwaajili ya kujikinga.miwani ,maski,gropsps,Tahadhari weka mbali na watoto,hifadhi sehemu kavu,hapa nitakuwa nimemaliza namna ya utengenezaji.lakini pia kunachangamoto au faida na hasara lazima huwa zipo,unapokologa Ile sabuni lazima Ile fimbo uelekezee sehemu moja ,kama ni kushoto elekezea kushoto kama unaelekezea kulia unapokologa elekezea kulia.hapo ndipo unatakiwa kuwa makini zaidi.ukichanya tu mikono lazima sabuni huwa inaharibika.pia faida ipo kubwa tu kikubwa ni kupima vipimo vinavyoeleweka ukifanya hivyo utaiona faida kubwa kubwa.pia jifunze kuchagua pafyumu yenye manukato mazuri,isiwe imepoa kwasababu ni sabuni ya

Comments
support 11 w

Elimu nzuri