Leo naenda kufundisha jinsi ya kutengeneza SHAMPOO

Комментарии · 146 Просмотры

Shampoo ni sabuni ya kuoshea nywele,nisabuni inayohitajika sana pia inawateja wengi.

Habari zenu wapendwa .sasa leo naenda kufundisha namna ya kutengeneza shampoo ya kuoshea nywele.kwanza kabisa inatakiwa uwe na mtaji kiasi cha shilingi 30000.vifaa vinavyo hitajika ni .sodaash,saphonic acid,siles,pafyumu,rangi,pafyumu,grisaline, CDE,maji,chumvi,baada ya hapo utachukua chombo kisafi,utachukua maji Lita 20 utachukua soda ash utachanganya kwenye maji kologa dakika 10,utachukua salphoni utachanganya kologa dakika 10,utachukua siles kologa dakika 10,utachanganya grisaline kologa dakika 10,utachukua CDE kologa dakika 10,changanya pafyumu kologa dakika 10,changanya rangi kologa dakika 10,mwicho changanya chumvi kologa dakika 10.Tahadhari weka mbali na watoto,hifadhi sehemu kavu,unapoanza kutengeneza vaa maski ,miwani na Grove.asanteni

Комментарии
Sania 6 ш

Nice

 
 
Upendo Mandala 9 ш

Nice